bait

n 1 chambo. 2 ubembe (kitu kimvutacho mtu afanye jambo). vt,vi 1 tia chambo (katika ndoana), ambika. 2 chokoza.