bailiff

n 1 (leg) (Eng) afisa wa mahakama (hasa anayetwaa mali ya mdeni). 2 (estate) msimamizi wa mali. 3 (leg) (Am) mfanyakazi wa mahakama hasa tarishi au mlinda mlango. 4 msimamizi/meneja wa shamba.