baggage

n mizigo; vikorokoro. 2 (colloq) (arch) msichana/mwanamke fidhuli. 3 hema na zana za jeshi. ~ room n chumba cha mizigo (of dhow) feuli. ~ check n hati ya mizigo/ msafara.