baffle

baffle

1 vt kanganya, changanya it ~s description haielezeki. baffling adj -a kukanganya/kukanganyikiwa. bafflement n kuchanganyikiwa.

baffle

2 n kizibo: chombo cha kudhibiti mwendo wa gesi, uoevu, au sauti. bag n 1 mfuko. hand ~ n mkoba, kibogoshi. kit ~ n shanta mail ~ n mfuko wa barua. sleeping ~ n fumba. travelling ~ n mkoba wa safari. 2 (of fishing) mvuo. 3 (of hunting) mawindo. 4 (pl) (of) tele. 5 (sl derog) mwanamke mbaya. a ~ of bones (of people, animals) -kondefu sana. ~ and baggage vikorokoro. let the cat out of the ~ toa siri nje (bila kukusudia). ~ under the eyes uvimbe he has ~under the eyes macho yake yamevimba. vt,vi 1 tia katika mfuko, gunia n.k. 2 (of hunting) ua, kamata. 3 (colloq) chukua she ~ged the best chair alichukua kiti kizuri zaidi. ~gy adj -a kupwaya, -liolegea.