bad

adj 1 -baya he has a ~ character ana tabia mbaya ~ news habari mbaya from ~ to worse zidi kuwa baya a ~ leader kiongozi mbaya it's ~ luck; too ~ bahati mbaya. 2 -bovu ~ teeth meno mabovu he speaks ~ English anaongea Kiingereza kibovu. 3 -ovu. a ~man (also fig ~ hat/egg/lot) mtu mwovu. 4 -chafu ~ language lugha chafu. 5 -tundu ~ child mtoto mtundu. 6 hafifu ~ light mwanga hafifu. 7 go ~ oza, vunda. 8 with ~grace shingo upande. 9 It wouldn't be a ~ thing isingekuwa vibaya, ingefaa. 10 have a ~ conscience juta, sutwa na dhamira. 11 ~ blood n uadui, chuki. 12 ~ debt n deni lisilotegemewa kulipwa. 13 be taken ~ ugua; ugua zaidi. 14 feel ~ jisikia vibaya/mgonjwa; sikitika I feel ~ I can't come nasikitika kwamba siwezi kuja. 15 call somebody ~ names tukana, tusi. 16 be on ~ terms with toelewana na. 17 ~ tempered adj -enye hasira. ~ n ubaya, uovu; ubovu. go to the ~ potoka, haribika. ~temperedness n. badly adv 1 vibaya he's ~ly wounded amejeruhiwa vibaya. 2 sana I ~ly want that dress nataka lile gauni sana. 3 ovyo. 4 badly off maskini.