backward

1 adj -a (kuelekea) nyuma. 2 (dull) -enye maendeleo kidogo mno. a ~ child n mtoto mzito. 3 -a kurudi ~ journey safari ya kurudi. 4 -lio nyuma kimaendeleo ~ country nchi iliyo nyuma kimaendeleo. 5 -siojiamini, -enye aibu. backwards adv 1 kinyumenyume he walked ~s alitembea kinyumenyume. 2 kabisa, fika He knows it ~s anaifahamu fika. backwardness n hali ya kuwa nyuma. backwardly adv.