baby

n 1 mtoto mchanga, mdogo katika familia au kikundi. ~ carriage n gari la mtoto ~ talk lugha ya kitoto. 2 (prov) throw out the ~ with the bath water tupa jongoo na mti wake. 3 (sl) kidosho, kisura, mrembo. babyhood n, adj -a kitoto ~ish behaviour tabia ya kitoto. 4 baby-sitter n mlezi wa muda. ~farmer n mlezi wa watoto wa nje ya ndoa. babysit vt angalia mtoto wakati wazazi hawapo.