babble

vi 1 bwabwaja, tamka sauti zisizo na maana au zisizozoeleka; ropokwa. 2 (of water) bubujika: toa sauti kama maji ya kijito. babbler n mropokaji.