axiom

n usemi unaochukuliwa kuwa kweli bila uthibitisho wala hoja. axiomatic adj. ~atic (al)adj -enye hakika dhahiri (bila uthibitisho).