axil

n 1 kwapa. 2 (bot) kwapajani: sehemu iliyo kati ya kikonyo cha jani na shina. axillary adj (bot) -a kwapajani ~lary bud tumbakwapa: chipuko iliyoko kwenye kwapajani.