awful

adj 1 -a kutisha, -a kuogopa, -a kicho, -baya sana. 2 -a kuogofya he is an ~ scoundrel yeye ni mtu mbaya sana I am in ~ pain naumwa sana. awfully adv. sana.