average

n wastani, kadiri general ~ wastani wa jumla adj -a wastani, -a kadiri, -a katikati, -a kawaida. vt, vi 1 tafuta wastani (kwa kuhesabu). 2 fikia wastani fulani the rainfall ~s 40 inches a year mvua hufikia wastani wa inchi 40 kwa mwaka.