avenue

n 1 barabara yenye miti kando kando. 2 mtaa mpana wenye majengo pembeni. 3 (fig) njia ya kufikia jambo au lengo fulani (usitawi, utajiri n.k.)