adj 1 -a kujiendesha. 2 (actions) -liofanywa bila kufikiri breathing is ~ kuvuta pumzi hufanywa bila kufikiri. n mashine ya kujiendesha. automaticallyadv. automatevt fanya ijiendeshe yenyewe. automationn utumiaji wa mitambo inayojiendesha. automatismn. automaton/automaten 1 roboti: kitu kiendacho chenyewe au kwa mashine iliyowekwa ndani yake. 2 (fig) mtu atendaye kama roboti.