autograph

n 1 mwandiko binafsi, sahihi halisi ya mtu. 2 (book/album) kitabu chenye sahihi, agh. za watu maarufu. autography n sayansi ya miandiko ya watu.