authority

n 1 mamlaka: uwezo wa kisheria wa kutenda jambo lawful ~ mamlaka halali. 2 mtu mwenye mamlaka/amri; mkuu he is the ~ here yeye ndiye mwenye mamlaka hapa. 3 serikali local ~ serikali za mitaa. 4 bingwa he is an ~ on Kiswahili yu bingwa wa Kiswahili. authoritarian adj -enye kulazimisha utii, -a mabavu, -enye kuunga mkono mfumo wa namna hii. authoritarianism n. authoritative adj 1 -enye mamlaka. 2 -a amri 3 -a kuaminika. authoritatively adv. authorize vt 1 (give leave) toa idhini, ruhusu. 2. (order) amuru, toa mamlaka. authorized agent. ~ ajenti mwenye mamlaka. authorization n.