auspice

n (pl) 1 mtabiri anayetumia nyendo za ndege/ishara. 2 bahati njema. auspicious adj -heri -a bahati, -a ndege njema. auspiciously adv. auspiciousness n msaada, himaya, fadhili, under the ~ of kwa msaada wa.