aureole/aureola

n 1 (rel) duara (inayochorwa kuzunguka vichwa vya watakatifu katika picha, kuonyesha utukufu wao/taji ya dhahabu). 2 taji takatifu. 3 duara linalozunguka mwezi.