audition

n 1 uwezo wa kusikia. 2 majaribio ya sauti/uigizaji/utumiaji wa ala n.k. vt give an ~ to jaribu/pima sauti n.k. (kwa ajili ya kuajiriwa). auditor n msikizi. auditorium n bwalo/ukumbi (wa mikutano, maonyesho n.k.). auditory adj -a kusikia, -a kusikizia.