attribute

vt ona/dhani ndiyo sababu ya, fikiria kuwa tabia/matokeo ya I ~ his illness to the rain naona mvua ndiyo sababu ya ugonjwa wake. n 1 tabia, sifa ya kiasili ya Mercy is an ~ of God Huruma ni sifa ya Mungu. 2 ishara ya mtu au cheo chake. attributable adj. attribution n. attributive adj (ling) vumishi ~ adjective kivumishi angama.