attitude
n 1 (position) jinsi (namna) ya kusimama au kukaa, mkao. 2 mtazamo, fikra, msimamo, mwelekeo a
negative ~ mtazamo hasi dhidi ya mtu fulani. attitudinize vi jifanya,
jifaragua (kwa kuchukua tabia na vitendo vya mwingine)/ sema, andika, tenda kwa namna ya kuathiriwa.