vt,vi 1 shughulikia, sikiliza, tumikia. 2 (on/upon)
uguza/ hudumia, lea. 3 hudhuria. 4 (formal) (accompany) fuatana/ambatana na a
method~edby great difficulties njia inayoambatana na shida kubwa. attendancen 1 kuhudumia be in ~anceon ngojea, fuatana na, hudumia. 2
mahudhurio. 3 mkusanyiko. attendantadj 1 -a kufuatana na, -a kuambatana na. 2 -a
kungojea, -uguzi. ~ n 1 mtumishi, mhudumu library ~ant mhudumu wa maktaba. 2
(pl) msafara, wajumbe wa mtu mashuhuri Premier and his~ants Waziri
Mkuu na msafara wake. attentionn 1 uangalifu, usikivu, usikizi pay giveattention to angalia, zingatia sikiliza, fanya kwa makini. attract attention
vuta macho draw attention vuta nadhari. 2 (pl) wema. attention Mr. X
aione X. 3 (mil.)attention ! mguu sawa! come to /stand at attention tulia, kakamaa. attentiveadj (to) sikivu, angalifu. attentivelyadv. attentivenessn.