vt,vi 1 fungia, shikiza. 2 (of documents etc)
ambatisha no suspicion~esto them hawatiliwi shaka. 3 (passive)
be~edto someone penda mtu sana, ganda. 4 ~ oneself to jitia,
jiingiza ~ oneself to a party jiingiza katika chama. 5 (mil)attachedto
teuliwa kuwa kwenye kikosi kingine kama mtaalam. 6 (seize) tilia maana, ona, dhani ~
much importance to tilia maanani sana. 7 (leg) shika, kamata, chukua kisheria. attachmentn 1 uambatishaji. 2 kiambatisho, kifuasi. 3 penzi, upendo. 4 kushika mali ya
mtu kisheria. 5 an ~mentto kuteuliwa kufanya kazi fulani. attache' n mwambata cultural ~en mwambata wa utamaduni. attache-casen mkoba (wa hati n.k).