atrophy

n. (med) kufifia, kupungua, kupotewa na nguvu mwilini; (fig) kuharibika kwa tabia. vt fifisha (mwili). vi fifia, pungua, potewa na nguvu (mwilini).