atmosphere

n 1 angahewa. 2 hewa ya mahali. 3 (surroundings) mazingira, hali ~of peace and calm hali ya amani na utulivu. atmospheric adj -a hewa atmospheric condition hali ya hewa, -a angahewa. atmospheric pressure n kanieneo ya angahewa.