asylum

n 1 kimbilio; mahali pa amani na usalama political ~ kimbilio la hifadhi ya kisiasa. 2 (old use) hospitali watunzwapo wenda wazimu.