assurance
n 1 (confidence) imani, moyo wa kujiamini.
2 ahadi, uhakika. 3 (rare) majivuno/ufidhuli. 4 (guarantee) bima/dhamana life
~ bima ya maisha. 5 yakini, uhakikisho. assure vt 1 ahidi. 2 thibitisha
hakikisha. 3 aminisha. 4 dhamini, wekea bima. rest assured (that) ondoa wasiwasi, poa, amini kuwa. assuredly adv kwa yakini, kwa hakika.