associate

vt husisha, shirikisha, unganisha (watu au mambo katika fikira) ~ Egypt with the Nile husisha Misri na mto wa Nile. vi shirikiana na, ongea na, fanya urafiki na a person to ~ with mtu wa kushirikiana naye. n mshiriki, mwenzi, rafiki adj -lioshiriki, shiriki ~judge jaji mshiriki. association n 1 ushirikiano, mwungano ~ of ideas mwungano wa mawazo. 2 (society) ushirika, jumuiya, shirikisho, chama articles of ~ kanuni ya kampuni form an ~ unda chama. 3 (meaning) maana, ukumbusho it has many old ~s for us inatukumbusha mambo mengi yaliyopita. associative adj.