assimilate

vt,vi 1 lishiza (chakula) baada ya mmeng'enyo food that ~s easily chakula kinacholishizwa kwa urahisi. 2 -wa/fanya mwenyeji; staarabika/staarabisha. 3 similisha. 4 chukua, pata (maarifa, fikra n.k). assimilation n 1 mlishizo. 2 usimilishaji: sera ya Wareno na Wafaransa ya kuwageuza wenyeji wafanane kama wao. assimilative adj.