assign

vt 1 toa, -pa, gawia (vitu, kazi) ~ the task to Ali mpe kazi Ali. 2 teua, taja ~the professor to the presidency teua profesa kwa uraisi. 3 weka/panga (tarehe, siku ya kufanyika jambo). 4 (leg) hawilisha. assignable adj. assignment n 1 utoaji. 2 uteuzi. 3 upangaji. 4 uhawilishaji. assignation n ahadi ya kukutana (aghalabu wapenzi), kuonana, miadi.