vt 1 kusanya, leta pamoja. 2 (mech.) unga
pamoja sehemu za mashine vi kusanyika, kutana pamoja. assemblagen 1
(of people/things) mkusanyiko, kongamano; (art) kitu kilichoungwaungwa k.m.
mashine. 2 kuweka pamoja, kuunganisha. assemblyn 1 kusanyiko, mkutano. 2
baraza Nationalassembly Bunge. 3 uunganishaji pamoja wa sehemu za (mashine
n.k.) assembly shop/plant karakana ya kuunganishia assembly hall bwalo,
ukumbi wa mkutano assembly line mashine na/au watu wanaofanya kazi hatua kwa hatua katika kuunda au kutengeneza kitu. 4 (mil) kuita askari (kwa ngoma au tarumbeta).