assay

vt 1 pima ubora wa metali (uliomo katika mawe yenye madini). 2 changanua kiasi cha dutu n.k. n (chem) uchanganuzi wa kiasi cha dutu (iliyomo katika mawe ya madini).