assault

n 1 uvamizi, shambulio (lolote la maombi, n.k.). 2 ~ (on, upon) shambulio la ghafula (k.m. katika vita), uvamiaji; (leg) ~ and battery mashambulio ya nguvu, mapigo. vt 1 vamia. 2 najisi.