aspiration

n 1 (gram) mpumuo. 2 hamu ya kupata (kitu bora n.k.). aspire vi gombea, tamani, weka lengo la kupata kitu fulani. aspirant n mgombea, mtamani.