asperse

vt kashifu, singizia, zulia jambo, sengenya; shutumu. aspersion n 1 kitendo cha kumkashifu mtu (only in) cast ~ kashifu. 2 unyunyiziaji maji ya baraka.