aside

adv 1 upande, kando, pembeni. 2 (in private) faraghani, kwa siri set ~ (judgement) futa, tangua hukumu. n 1 maneno ya pembeni an ~ maneno (hasa katika tamthiliya) ambayo waigizaji wengine hawapaswi kuyasikia. 2 (of speech) mchepuko: maneno yanayoingizwa katika hotuba ambayo yako nje ya hotuba.