ash

ash

1 n (bot) mjivujivu (aina ya mti).

ash

2 n jivu; (fig) reduce to ~s teketeza. ashy adj (fig) -eupe kwa uso. ~-bin/~-can n pipa la taka adj (bot) -a mjivujivu; -a (rangi ya) majivu, kijivu. ~-pit n shimo la kufukia majivu. ~-tray n kisahani cha majivu. A~ -Wednesday n (rel) Jumatano ya Majivu, siku ya kwanza ya Kwaresima.