artillery

n 1 mizinga mikubwa. 2 jeshi lenye kutumia mizinga ya namna hii. ~ wagon n gari la kukokotea mizinga.