artificial

adj 1. bandia 2. -a kinafiki. ~ respiration n uvutishaji hewa, upumuaji bandia. ~ insemination n uhimilishaji kibandia: utiaji shahawa za tovi (dume lililochaguliwa) kwenye uterasi ya mnyama ili atunge mimba. ~fertilizer n mbolea ya chumvi chumvi. ~lly adv kwa kughushi. artificiality n ubandia, tabia ya kughushi.