articulate

vt 1 eleza kwa ufasaha. 2 fungamana viungo. 3 tamka adj semi, -enye kueleweka. articulateness n ufasaha. articulation n 1 hali ya kujieleza kwa ufasaha. 2 (bio) kiungo (cha goti n.k.), uungaji. articulator n kitamka.