artery

n 1 ateri: mshipa mkubwa upelekao damu toka moyoni mpaka kila sehemu ya mwili. 2 (road) njia kuu, barabara kuu. arteriole n kiateri, tawi la ateri.