art
n 1 sanaa. Theatre Arts n Sanaa za
Maonyesho. 2 ustadi/ufundi (k.m. wa kupiga muziki, kupiga picha, kuchora sanamu n.k.). 3 (pl)
~ s n fani. fine ~s n sanaa, faculty of ~s
kitivo cha fani ~ exhibition maonyesho ya sanaa ~ school chuo cha sanaa work
of ~ kazi ya sanaa. 4 (cunning) werevu, ujanja. 5 artist n msanii. artiste n msaniitendi, mwanasanaa. artistic adj -a sanaa, -stadi, -sanii, -zuri. artistically adv. artistry n ustadi, urembo, usanii.