aroma

n 1 harufu nzuri. 2 (fig) hali au mazingira fulani maalum. aromatic adj -enye kunukia vizuri, -enye kukolea viungo.