armature

n 1 deraya. 2 (in motor cars) amecha: misuko ya waya katika jenereta au mota ya umeme ambayo huzunguka katika uga sumaku.