aristocracy

n 1 tabaka/utawala wa makabaila. 2 waungwana. 3 (fig) walio bora katika shughuli fulani. aristocrat n mtoto wa watu, mtu wa ukoo bora. aristocratic adj -a kikabaila, -a jamii ya watu wakuu aristocratically adv.