vi,vt 1 toa hoja/sababu/maneno ya kuthibitisha au kukanusha. 2 shindana kwa maneno, hojiana, bishana,
gombana. ~ somebody into/out of something shawishi mtu afanye/asifanye jambo. 3
jadili. argumentn 1 hoja. 2 mabishano, mashindano, majadiliano. 3 muhtasari
wa habari zilizo katika kitabu. argumentativeadj -bishi. arguableadj
1 -a kujadilika. 2 -wezayo kujengewa hoja/ushahidi. argumentationn kubishana, kutoa hoja, kuhojiana.