archaic

adj -a zamani, -a kale, -siotumika sasa. archaism n kikale: neno au msemo wa kale (usiotumika sasa).