arbor/arbour
n mahali penye kivuli cha miti (katika bustani). ~eal adj-a miti, -a mtini. ~eous adj 1 penye miti mizima 2 -a
mitini ~animals wanyama wa mitini. ~escent adj -kama mti, -enye
matawi. ~tum n mahali penye mkusanyo wa miti kwa ajili ya maonyesho na mafunzo. ~culture n ukulima wa miti.