aquarium

n tangisamaki, hodhisamaki: tangi la maji la kuwekea na kuonyeshea samaki na mimea ya bahari.