apron

n 1 kimori, aproni: nguo maalum inayovaliwa hasa wakati wa shughuli za uchafu tied to mother's/ wife's ~ strings anayetawaliwa na mama yake/mkewe. 2 sehemu iliyosakafiwa kwenye uwanja wa ndege kwa ajili ya kupakia, kupakua na kugeuzia ndege. 3 ~ stage n jukwaa chomozi: sehemu ya jukwaa kwenye thieta inayochomoza kuelekea watazamaji.